u need to download netframe work 3.5 online,hii itakusaidia kuweza kufanya installation ya program zote za version za nyuma kwenye windows 8 yako-na kuhusu kaspersky download latest version ya 2013 itaingia vizuri-ndo ninatumia kwenye windows 8 pro buld 9200 since september.any problem PM i can offer some help
Tafuta kaspersky 2013Wadau naomba mnisaidieni nimeweka windows 8 ila nikitaka kurun karspersky yangu niliyokuwa natumia kwenye windows 7 inakataa na kunipa message inayosema kuwa the program has some compatibility issues so inakataa kuiinstall
Nimeshindwa kuelewa where is the problem naombeni mnisaidie maana hyo antivirus nimeitumia kama miezi miwili tu.
microsoft security essentials kwenye win7,its the best of all,kwa windows,simple,light,does not consume much processor resources,easy to upgrade,antivirus nyingi zinafanya exaggeration,kila kitu inachokiona ni virus. It is obvious kwamba win defender ni antispyware,ila waliokuwa wakijaribu kufanya installation ya essentials kwenye win8 walipata hii message'
'No need for security essential,there is an inbuilt windows defender that offer same level of security as security essential,just update it''