Hii post yako inabainisha kuwa
-Wanaume wanazidi kuwa vilaza, na uwezo wa kupata kazi au nyadhifa za juu zinapungua.
-Mwanamke anataka kujikomboa kutoka kwa mwanamme, sio wote wanataka kuwa goalkeepers
-Hii pia inabainisha kuwa kuolewa si lazima, yes is part of life. You can't force things if do not happen
Lastly, I just want to convey to you that, marriage is something but not everything otherwise there wouldn't be divorces then. Kuwa spinster is not shame, Condolisa Rice is one unmarried woman and is living her life. Virgin Mary was single woman too.....so WTF!
Why... I just feel that you are trying to convince wanawake waanze kulea wanaume, excuse me, not on my account! 🙂
Nilikupenda kimapenzi solemba ehe ila dharau uliweka mbele solembaa!
Women hate each other, ili kubalance their gaps wanaume wengi wanaojituma na wanaojua kutengeneza pesa nyingi wanaoa lazy woman or house wives, that's why ni ngumu sana mwanamke kusema atamzidi shost wake hali za kimaisha sababu hata ajitume vipi shost anaweza akaolewa na jembe na akadrive benz kama kawa,,,
Wanaume wenye pesa hawapend shida za kuoa au kutongoza wadada wenye kipato, ye anaoa yoyote atakaempenda as anajiamini atahitaji msaada wa kipato kutoka kwa wife, so wadada wenye vipato msitulingie sisi kayumbas na kusubiri wadau, wadau wanaoa house wives
shift of power and decision making will drastically be affected. Hili nalo mnalionaje wadau?
hapa ndipo mkata kiu kakata kiu kabisa...................wadada wenye minoti watutafute tuwalee na kuwazilisha watoto wanaowataka kwa udi na uvumba..............wakisubiri wa saizi yao kimapato watasubiri hadi jua litakuchwa..........
Usikatishe watu tamaa wewe....watu wanamalengo yao!
Mi nataka niolewe na nitakaemzidi kipato. Ni vizuri kwakweli.
hao mbona ni wengi............ninakumbuka gazeti la The Standard wakati moja lilikuwa linawashauri wanawake wa kenya kuja Bongoland watapata wanaumme handsome, wapole lakini wavivu..............hawapendi kufanya kazi...............kwa hiyo hapa tumejaa lakini halahala usije kutunyanyasa na "vijisenti" vyako........yaani tusije kuishia kuwa maboy.........wa kukufulia kufuli zako na kudeki huku tukikupikia....lol
hao mbona ni wengi............ninakumbuka gazeti la The Standard wakati moja lilikuwa linawashauri wanawake wa kenya kuja Bongoland watapata wanaumme handsome, wapole lakini wavivu..............hawapendi kufanya kazi...............kwa hiyo hapa tumejaa lakini halahala usije kutunyanyasa na "vijisenti" vyako........yaani tusije kuishia kuwa maboy.........wa kukufulia kufuli zako na kudeki huku tukikupikia....lol
sio kwamba nitamnyanyasa ila najua hatonibabaisha. Lol!
Si ndio mnavyotaka...wewe wataka iweje, kipi kikubwa mnachojua mpaka mshindwe kupata kazi ulilie kulelewa, mtazifua kufuli tu na juisi ya pilipili mtakunywa 🙂
Mademex God ordained you as a weaker vessel........why fight what God had planned for you.....remember your mother Eve disobeyed God and we are all suffering it is time being humble to serve your man with total dedication and with zero tolerence at grumblig be your new motto..........................utafaidi maisha...........kazi hatupati kwa sababu soko linatunyanyapaa.............tuelewe hivyo..........