Karne ya 21 bado watawala wetu mnaamini umasikini utaondoka kwa semina elekezi?

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Feb 27, 2021
484
541
Karne ya 21 bado watawala wetu mnaamini umasikini utaondoka kwa semina elekezi. Kwa kukata Miamala, tozo za ajabuajabu.

Unajua haya nayo ni maajabu! waziri kasomea uchumi, lakini hajui uchumi unapatikanaje, Unashindwa kujua kuwa.

Njia sahihi ya kupambana na umaskini ni kwa kumtumia expert wa umaskni mwenyewe ambaye ni maskini, alisema Hernando de Soto mwandishi wa, “The Mistery of Capital.”
 
Back
Top Bottom