Karibunk turumbue marumbusi....!!!!

Mhhhhhh napenda kula lakini chakula hiki hapana.
Umepika wewe nini mkuu?
Nimekumbuka chapatti zako za kipindi kile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uzuri wa chakula.... 30% Muonekano wa kuvutia, 30% Harufu ya kuvutia, 30% Ladha ya kuvutia, hiyo 10% ndio yote yaliobakia!... Hiki chako muonekano mmh! harufu sijui, ladha sijui...
 
Mbona diko liko mwororo kabisa, kitu pilau +kuku mzima tomato+kachumbali pembeni mtindi.

Ila hili ni bomu unatengeneza mkuu.
[emoji53] [emoji53] [emoji53] pilau mtindi[emoji15]
[emoji125] [emoji125]
 
Mhhhhhh napenda kula lakini chakula hiki hapana.
Umepika wewe nini mkuu?
Nimekumbuka chapatti zako za kipindi kile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha mkuu unakeep memory sana. Kama kawaida mkono wangu huo pilau kuku na makachu yakujigi
 
Uzuri wa chakula.... 30% Muonekano wa kuvutia, 30% Harufu ya kuvutia, 30% Ladha ya kuvutia, hiyo 10% ndio yote yaliobakia!... Hiki chako muonekano mmh! harufu sijui, ladha sijui...
Kiko bienangai mkuu
 
Mbona diko liko mwororo kabisa, kitu pilau +kuku mzima tomato+kachumbali pembeni mtindi.

Ila hili ni bomu unatengeneza mkuu.
[emoji53] [emoji53] [emoji53] pilau mtindi[emoji15]
[emoji125] [emoji125]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ubunifu tu mkuu
 
Hahaha mkuu unakeep memory sana. Kama kawaida mkono wangu huo pilau kuku na makachu yakujigi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naanzaje sasa kusahau madikodiko yako?
Ila next time jitahidi visiungue sana.
And ni jambo zuri kuona mwanaume anajipikia.[emoji122]
 
Kwa mchanganyo huo utakunya mavi rangi ya rainbow
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naanzaje sasa kusahau madikodiko yako?
Ila next time jitahidi visiungue sana.
And ni jambo zuri kuona mwanaume anajipikia.[emoji122]
Shukrani mkuu. Yaan a day nikioa, hakyanan mke wangu atakua na wivu sana sababu akihisi nachepuka roho itamuuma kwamba mchepuko unafaidi mahanjumati yaliyopikwa kwa mkono wa mumewe
 
Kwa mchanganyo huo utakunya mavi rangi ya rainbow
Hahahahahahahahah.....[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji38]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…