Marekani wanandoa wakiwa wanaenda kulala husema 'good night baby'
Uingereza 'sweet dreams honey'
Australia 'good night my love'
Tanzania 'umefunga milango na madirisha?dagaa umeweka vzr panya wacje wakala tukakosa mboga ya kesho,chezea Tz ww. Ucku mwema.