Karibuni warembo/wakaka

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Jamani siku hivi kuna vi-new member vimeingia lakini viko nondo, full ma-avatar ya kufa mtu, ma-signature.
Duh, kweli kizazi cha TEHAMA kina-cope haraka sana sie kina kayumba ilituchukua miezi 6 kujua mambo hayo

Anyway, thread hii ni ku-appreciate nature and creation of jf.
Huu ni utalii wa ndani sihitaji kwenda ngorongoro maana hapa naona viswala mara vitwiga vidogo full maringo.

Au vibibi tumeamua kujivua magamba na ma-avatar mapya? Maana full maujanja.

Babu Rejao, naye li nyati mzee, TB simba wa makamo, washawasha mbwamwitu, bujibuji hajulikani where does he belong.


Tuwakaribisheni, mie ntakuwa nawatembeza tembeza humu ndani.

Oyee utalii wa ndani wa jf
 
narudi baadaye kidogo....endelea na ngoma hizi :drum: kisha uendelee kujipendela na hizi :popcorn:
 
dah! mie nishakuwa mbwa mwitu yaani tunalana sie kwa sie? haya waambie wapande humu hao wageni.
Nalog off:plane:
 
Asante, nahitaji popcorn, tena nakaa mbele maana wamezidi kupendeza, fahari ya macho

narudi baadaye kidogo....endelea na ngoma hizi :drum: kisha uendelee kujipendela na hizi :popcorn:
 
Back
Top Bottom