karibuni wakuu

ugali wote huo......kitoweo ndo hicho. Kula mwenyewe
 
una ahueni kuna wanaokula bondo isze hiyo na picha ya samaki. Asante by the way nimeshiba au wazungu wanasema no thank you.
 
aisee ingekuwa hivi sijui kwani ukiangalia ugali ni zaidi ya 2K gharama zake..
 
ahahahahaha...yani huo mguu ni kama umedondoka hapo bahati mbaya!
 
Nadhani mboga ipo pembeni. Huyo kuku mwenye huo mguu yuwapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…