Karibuni wa Mzumbe University

Karibuni wa Mzumbe University

Sijawahi kuona darasa la wanafunzi 700 wanasoma Masters Programme in one intake...can you check this at Mzumbe
 
hapana taarifa hio sio ya kwel masters ya mzumbe sio fake na nichuo ambacho masters zake ni zakuaminika kuliko vyuo vingine
hapa unaanisha kuwa mastersza vyuo vingine kama SUA, UDSM na kwingine ni sub standard kulinganisha na Masters za Mzumbe? kwa mantiki hiyo Mzumbe wana Masters zote hadi za Engeneering na za Kilimo?
 
nop sio kwamba mzumbe wanatoa masters za aina zote na sio kwamba nyingne zko low compared tu mzumbe bt sio fake na nizakuaminika kulinganisha na vyuo vingne means sio za ujanja ujanja....u get it til u earn it
 
Sijawahi kuona darasa la wanafunzi 700 wanasoma Masters Programme in one intake...can you check this at Mzumbe
even at mzumbe there is no such a thing.....from what i know at maximum may be 50 students
 
Mzumbe university is the only university where great administrators are found. For those who are interested on studying administation and management you can join us at Mzumbe university.
#MU
administation eenh!..sawa
 
nop sio kwamba mzumbe wanatoa masters za aina zote na sio kwamba nyingne zko low compared tu mzumbe bt sio fake na nizakuaminika kulinganisha na vyuo vingne means sio za ujanja ujanja....u get it til u earn it
Nimekupata. ni kwamba Mzumbe ni miongoni mwa vyuo bora hapa Tanzania na duniani. sote tunajua kuwa Mzumbe ni Chuo bora kabisa hapa nchini katika taaluma ya utawala na usimamizi tangu enzi ikiwa inaitwa IDM. lakini siyo kwamba ni bora kuliko vyuo vingine. ni bora kama ilivyo UDSM, SUA, Muhimbili, Ardhi University n.k huku kila Chuo kikiwa bora katika eneo lake la Specialization.
 
hapana taarifa hio sio ya kwel masters ya mzumbe sio fake na nichuo ambacho masters zake ni zakuaminika kuliko vyuo vingine
Vip hao viongozi waliosoma MU wanasaidia VP jamii yetu? Hivi Binamungu yupo maana nasikia watu wanasoma Law miaka mitano badala ya mitatu?
 
"may be" means what???? your not sure! then why you respond???
yes because there is no such a thing in reality....those 700 students may be in all masters programes even though i dont think abt t also... but not a single masters program
 
Nimekupata. ni kwamba Mzumbe ni miongoni mwa vyuo bora hapa Tanzania na duniani. sote tunajua kuwa Mzumbe ni Chuo bora kabisa hapa nchini katika taaluma ya utawala na usimamizi tangu enzi ikiwa inaitwa IDM. lakini siyo kwamba ni bora kuliko vyuo vingine. ni bora kama ilivyo UDSM, SUA, Muhimbili, Ardhi University n.k huku kila Chuo kikiwa bora katika eneo lake la Specialization.
true that broh
 
Vip hao viongozi waliosoma MU wanasaidia VP jamii yetu? Hivi Binamungu yupo maana nasikia watu wanasoma Law miaka mitano badala ya mitatu?
wanasaidia jamii acordin to what they have specialize on and kuhusu issue ya law sio kwel mzumbe wanatoa bachelor degree ya law kwa muda wa miaka mitatu tu.
 
Mzumbe ni Chuo bora aisee nimesoma hapo degree ya kwanza nakikubali sana
 
Nimekupata. ni kwamba Mzumbe ni miongoni mwa vyuo bora hapa Tanzania na duniani. sote tunajua kuwa Mzumbe ni Chuo bora kabisa hapa nchini katika taaluma ya utawala na usimamizi tangu enzi ikiwa inaitwa IDM. lakini siyo kwamba ni bora kuliko vyuo vingine. ni bora kama ilivyo UDSM, SUA, Muhimbili, Ardhi University n.k huku kila Chuo kikiwa bora katika eneo lake la Specialization.
Naungana na wewe juu ya ubora wa kila Chuo katika specialization zake mfano Chuo kikuu cha Ushirika Moshi ni chuo bora katika nyanja ya elimu katika ushirika kwasbb its area where its specialize
 
Back
Top Bottom