AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,415
- 1,386
hii ni thread special kwa ajili ya wanafunzi wa mzumbe kujuana na kujadili mambo tofauti,pia vyuo vingine mnakaribishwa.kwanza kabisa chuo kitafunguliwa tarehe 14.10,mwenye mengine endelea
kama sisi tunotoka mbali na hatuna jamaa hao morogoro itakuaje hii siku ya kuwasili......
hii ni thread special kwa ajili ya wanafunzi wa mzumbe kujuana na kujadili mambo tofauti,pia vyuo vingine mnakaribishwa.kwanza kabisa chuo kitafunguliwa tarehe 14.10,mwenye mengine endelea
mzoefu wa mzumbe campus ya mbeya plz,vipi kuhusu hostel za off campus?