Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Karibuni wadau wote tuliotendwa mwaka 2017
Wengine huwa mnajitendesha...Karibuni wadau wote tuliotendwa mwaka 2017
Mungu akubariki sana umenipa nguvu sanaUkiona mtu kaondoka ni kwa sababu katika hadithi ama stori yako ya maisha Mwenyezi MUNGU hakumuandika huyo kama muhusika mkuu, ni muhusika mdogo, yeye anaweza kutokea kwenye kurasa chache tu za kitabu cha maisha yako, subiri muhusika mkuu, huyo utakuwa nae kurasa zote, usilazimishe mhusika mdogo awe mhusika mkuu, yeye ni mdogo ndio maana kaondoka!
Good thinkerUkiona mtu kaondoka ni kwa sababu katika hadithi ama stori yako ya maisha Mwenyezi MUNGU hakumuandika huyo kama muhusika mkuu, ni muhusika mdogo, yeye anaweza kutokea kwenye kurasa chache tu za kitabu cha maisha yako, subiri muhusika mkuu, huyo utakuwa nae kurasa zote, usilazimishe mhusika mdogo awe mhusika mkuu, yeye ni mdogo ndio maana kaondoka!