donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
kuna baharia pale mafinga alikua ana pack kwenye chupa kama za bia sijui aliishia wapi...
bro ulanzi wa itulituli ni habari nyingine huo wa itona ni cha mtoto, yaani hata nchi jirani wanafuata ulanzi itulituli.
Tatizo ni wa msimukuna baharia pale mafinga alikua ana pack kwenye chupa kama za bia sijui aliishia wapi...
Ulanzi ukichanganya na Valuer, bia unapiga chini.bro ulanzi wa itulituli ni habari nyingine huo wa itona ni cha mtoto, yaani hata nchi jirani wanafuata ulanzi itulituli.
mkuu ulanzi ni kilimo tiriri uliza tuliokulia na wabobezi wa hizi mambo....
Kukahe pazuri sana
Mdindisho
Kilimi tiriri ndio kilimo gani?mkuu ulanzi ni kilimo tiriri uliza tuliokulia na wabobezi wa hizi mambo....
Sikipingi mkuubro ulanzi wa itulituli ni habari nyingine huo wa itona ni cha mtoto, yaani hata nchi jirani wanafuata ulanzi itulituli.
kilimo ambacho hakichagui msimu... kwani primary hukusoma kua kuna kilimo tiriri na kilimo cha msimu?
Mimi nakumbuka kama niliambiwa kilimo tiriri ni kilimo cha mazao yale ya kudumu lakini mavuno yake ni ya msimu vilevile.kilimo ambacho hakichagui msimu... kwani primary hukusoma kua kuna kilimo tiriri na kilimo cha msimu?