Mfumo wa biashara ya mitandao ni mfumo ambao unapendekezwa kufanywa katika karne hii ya 21, kwa sababu ni mfumo ambao umeisha tengenezwa na kampuni wewe kazi yako kubwa ni kununua kwenye mfumo ambapo utaunganishwa ndani ya huo mfumo
Ukisoma kitabu cha Robert kiyosaki Ushauri kwa MTU anayetaka kuanza biashara inabidi ajikite kwenye kutengeneza mfumo na mfumo ipo ya aina tatu:-
1:Traditional C-type corporation ambapo unatengeza mfumo wako mwenyewe: Tatizo la hapa utapata changamoto nyingi pia itachukuwa muda mrefu kutengeneza mfumo, mfano mtu anayetaka kuanzisha mradi au kampuni Fulani,
2.Frenchise:- ambapo unanunua mfumo ambao umeiasha tengenezwa tiyari, Tatizo la hapa inahitajika mtaji mkubwa kuweza kununua mfumo,
3.Network marketing(multilevel marketing) hii ni biashara ya mtandao ;-ambapo unanunua kwenye mfumo uliopo, uzuri wa hapa hakuitajiki mtaji mkubwa kuweza kumiliki mfumo. Pia sio rahisi kushindwa kwasababu changamoto zote zinakuwa zimeiasha tatuliwa na wanzilishi wa mfamo, kuna changamoto za kawaida
Pia sio rahisi kushindwa kwa sababu watu walioko kwenye timu yako watakupa mbinu mbadala ya kupambanua changamoto
Pia huu mfumo unafaa sana katika ulimwengu huu wa utandawazi
Mwisho kabisa nawakaribisheni
Mujiunge kwenye kampuni yetu ya alliance global in motion yenye
Mfumo wa network marketing hakika hautajutia kujiunga wasiliana na 0757409103 kufahamu zaidi