wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Kumbe nandugu huku,najivunia kuwa mnyamwezi wa chabutwa na skongeUlimholaaa ......
Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu.
View attachment 654603
Karibuni karanga...
View attachment 654605
Jisevie mwenyewe karanga na asali kwa raha zetu wanyamwezi na standard gauge ndo hiyoo inakuja hata kama ni baada ya miaka 10 ijayo....
Najivunia kuwa mnyamwezi aliyechovyea Tanga. Mashika mashika mashilongo hoyeeeee.
Koolooompaaaa.
NB: leo tangu asubuhi kuna kisa cha kweli natamani kukisimulia ila roho inasita. Basi wacha nimtakie mhusika wa hicho kisa heri ya siku ya kuzaliwa, leo tarehe 19.12.2017.... iko siku nikipata kibali ntaeleza hapa yote moyo wangu uwe huru, maana ulinitafuta mwenyewe mwaka huu.
Kasie Mahabat Matata Motoo.
MhHaya ngoja niombe kibali.
Anakudaka Nani Kasie au yule kibabu wa SingaporeOooh safi sana, kote huko kuna ndugu zangu..... nikielezea sana ntaanika mchele upenuni. Mke huwa naenda kila nikipata off hata ya siku 3 maana likizo huwa nadakwa juu kwa juu hehehehe.
Hapo sidhani kama nina ndugu so sijawa makini kupafatilia, nadhani nikija safar nyingine nitafika kote huko.Na chemchem
Hahaa.. haina haja kuweka wazi, muhimu nimefurahi kumjua mtu ninaetoka nae sehemu moja.
Warahi nataka kuchukua mzigo.....Hahahahahahaa kwanini ukose la kusema? Sema tuu... kinehee!!
Ooh,mkuu unAonekana upo vzr kwenye sekta hiyo,it is my great wish nikuone siku moja ukichezaHata sijui anaitwa nani mie huwa naupenda sana huu wimbo, pale unapopigwa nikipata nafasi ya kuucheza naucheza vizuri huku nikiringa na kujinyonga kinyamwezi hahahahahaha raha sana.
I love being nyamwezi.
Asali ya Tabora imejaa Tumbaku.Ulimholaaa ......
Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu.
View attachment 654603
Karibuni karanga...
View attachment 654605
Jisevie mwenyewe karanga na asali kwa raha zetu wanyamwezi na standard gauge ndo hiyoo inakuja hata kama ni baada ya miaka 10 ijayo....
Najivunia kuwa mnyamwezi aliyechovyea Tanga. Mashika mashika mashilongo hoyeeeee.
Koolooompaaaa.
NB: leo tangu asubuhi kuna kisa cha kweli natamani kukisimulia ila roho inasita. Basi wacha nimtakie mhusika wa hicho kisa heri ya siku ya kuzaliwa, leo tarehe 19.12.2017.... iko siku nikipata kibali ntaeleza hapa yote moyo wangu uwe huru, maana ulinitafuta mwenyewe mwaka huu.
Kasie Mahabat Matata Motoo.
Jamani huyu babu ananiumiza moyo wanguHahahahaaa babu mmoja hivii ana makeke sanaa.
Ooh,mkuu unAonekana upo vzr kwenye sekta hiyo,it is my great wish nikuone siku moja ukicheza