Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Kama upo Mshangano naomba umsalimie mzee wangu anaitwa MCHALINZEJana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Ukagonga panya buku. Hata wakameruni wanagonga hiyo kitu ya poriJana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Yapenda mtiniHio sehemu maarufu kwa misosi hasa Kuku pana mipaka mikubwa Ila wangoni ni nyoko, nimesahau jina ndio sehemu maarufu hapo songea, Delux ni nyoko
OyeeeSongea oyeeee
Kusini oyeee
Haahaa zimefika mkuuKama upo Mshangano naomba umsalimie mzee wangu anaitwa MCHALINZE
Mimi sio mwalimu mkuu. Mimi ni storo Wei kama jina langu lilivyoUmepangiwa shule gani?
Ni sahihiSongea wakarimu sana hasa akina mama na wajue umetokea mikoa ya mwanza huko ndio basi tena
Fanya hivyo mkuuJana nilikuwa matalawe na bombii nyumbiii. Leo niko lizbon. Jioni nitasogea hapo lachaz. Ntakutafuta.
Muda ukiruhusu itabidi kwa kweliKaribu lizaboni NYAMA za mbuzi, nipo hapa nakula mishikaki mida hii.
Muda huo nami nlikua hapo mkuu nimekula mbuzi, saizi nipo tanesco ila jioni natafuta chimbo la kitimoto aseKaribu lizaboni NYAMA za mbuzi, nipo hapa nakula mishikaki mida hii.
Achana na La Chalz, kiwanja kinachobamba siku za hivi karibuni ni Chanta BuL hapo bomba mbili, njiani kabisaaa.Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Kigonsera haipo Songea ipo Wilaya ya Mbinga.Nimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini
No matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.Kigonsera haipo Songea ipo Wilaya ya Mbinga.
No matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.
Disko Mbicu hotel nikiwa nimetupia form six kubwa na suruali ya kubana chini nikiwa nimevalia raba kali mkononi nina pakti ya reds nainyonya na hiyo ni baada ya kula pilau la kutosha home.
Route za studio PS records na mwanangu wa faida kwenda kurekodi.
Wapi Komba Dae, Kusile, Andoya, Mdaka Five ila kwa sasa nasikia kuna matajiri wengine it's been a while
Ruhuwiko, Matalawe, FurahaStore, Mbuyula, Kiwandani, Jimboni, Misheni, Mbinga Day, Mbambi, Makita.
Yote kwa Yote lile Baridi na Udongo mwekundu litanifanya niendelee kuwa Diaspora.
Napamanya hapo si ndo wamepafungua sikukuu ya Iddi sio?Achana na La Chalz, kiwanja kinachobamba siku za hivi karibuni ni Chanta BuL hapo bomba mbili, njiani kabisaaa.
Umesahau kwa tajiri BafreyiNo matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.