Karibuni Songea

Kama mbawala hakuwa na akina mapunda basi utakuwa ulilishwa nyama yake
 
Tutakuja Songea, msihofu. Maduka mshafungua au bado
 
Hio sehemu maarufu kwa misosi hasa Kuku pana mipaka mikubwa Ila wangoni ni nyoko, nimesahau jina ndio sehemu maarufu hapo songea, Delux ni nyoko
Kama unakamata mbuzi katoliki **** Chimbo hapo lizaboni kwa makukura ni hatari tupu,halafu piga mitaa ya kosovo mtini pub,newstar,la haz mambo ni bam bam.
 
Kama unakamata mbuzi katoliki **** Chimbo hapo lizaboni kwa makukura ni hatari tupu,halafu piga mitaa ya kosovo mtini pub,newstar,la haz mambo ni bam bam.
Nakubali mkuu, kumbe mitaa unaimanya vizuri
 
Ambae yupo jirani atupe post za hapo i mean picha za mandhari ya hapo
 
Ni Nyoni au Nyani?
 
Nilifika huko mwaka Jana kwa mara ya Kwanza.Vile nilivokua nawaza na nilivopaona ni tofauti.Nilibahatika kufika maeneo ya Ruhuwiko,Liganga na Peramiho.Nilichoshangaa ni pale mjini machungwa matatu 1000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…