Karibuni Songea mji wa giza na adha ya maji

Karibuni Songea mji wa giza na adha ya maji

Haaaahaaa,me nimekuja juzi but umeme haujakatka huku mjimwema kwani tunatumia line 1 na hosptal
 
Na sasa tumeshuhudia TBCCM HABARI jana watu wakihojiwa.Nchimbi kweli hana huruma na wananchi wake.Komba akawapa fulana akaimba"watanzania twapendeza".Akaongeza tena "Kikwete tieni...kwa moyo mmoja"hapo mtz wa kawaida hayumo tena ktk hesabu yeye atie tu wale akina riz1,kikwete nk.Kweli nimeamini anayechagua ccm hana akili sawasawa.
 
Songea haitapata umeme wa uhakika sababu mkipata umeme mtajanjaruka, mtazijua mbichi na mbivu, na matokeo yake mtachagua upinzani. Jipangeni
 
Rejea taarifa ya habari jana.Nimeamini maneno ya Angusangwila"hakuna anayechagua ccm akiwa na akili timamu"
 
Rejea taarifa ya habari jana TBCCM.Nimeamini maneno ya Angusangwila"hakuna anayechagua ccm akiwa na akili timamu"
 
Mbunge wenu Nchimbi yupo busy na CHADEMA
 
Jana niliandamana mpaka tanesco songea.. ... Nkacharge smu pale mahenge,nikaingia jamiiforums kupitia my laptop... Waliisoma namba. Wakikata tena leo naenda kufanya kazi zangu pale ofisini kwao

mkuu mfano wako ni wa kuigwa!!

Nimekukubali,.
 
Mbona wametuzidi NAMTUMBO na MBINGA?Kweli ccm ni janga la Songea.Au wanataka tukusanye vijana wa Lizaboni na Bombambili?
 
kama saizi umekatika toka saa 2 hiyo mbaka saa 6 usiku. Nasikia ile mashine mpya aliyoagiza kikwete wajanja wameleta ya zamani wamepaka rangi tu ikaonekana mpya kumbe wajanja wameshachakachua. Ina maana mbaka kikwete anadanganywa na watendaji wake wa chini?
 
KIKWETE hawezi akajua shida za watanzania kwani yeye kutwaaa kiguu na njia mara leo London,mara kwa Obama.Rais wa angani
 
Back
Top Bottom