Habari za leo wadau nawakaribisha kwenye stationery mpya iliyofunguliwa sinza kamanyola ukitoteka shekilango baada ya kituo cha legho ukivuka daraja mkono wa kulia kabla haujafika kituo cha kamanyola. Huduma nzuri zinapatikana hapa toa copy kwa sh 40/= na printing kwa sh 300/= bila kusahau binding, scanning,lamination. Na mambo mengine mengi. Karibuni sana.