Karibuni mtaani wanachuo wote mliohitimu,muone uchungu wa kuisoma namba

Mwezi huu kumekuwa na mahafari mengi karibia kila chuo kikuu tanzania, vijana na kina dada wamefurahia kumaliza masomo yao na kutunukiwa vyeti, na wakajawa sura za furajha huku wamevaa ma joho yao.

Swali je mmejiandaa vyema na maisha ya mtaani...maana huku ajira bado uhakiki unaendelea.
Wengine walikua vimbelembele kushadadia wimbo wa tutaisoma namba. Sasa waache waje wazihesabu
 
Back
Top Bottom