Karibuni mnunue bidhaa za Oriflame

Karibuni mnunue bidhaa za Oriflame

Joined
Aug 13, 2014
Posts
76
Reaction score
4
Tunazo lipsticks zinazokaa kwenye lipstick masaa 24..bei yake ni 26,000
 

Attachments

  • 1408429349812.jpg
    1408429349812.jpg
    45.8 KB · Views: 122
Pia tunazo products nzuri kwa ngozi yako..kutibu chunusi,kupunguza na kuondoa mafuta usoni n.k,,tiba zipo kwa aina zote za ngozi..
 

Attachments

  • 1408429668581.jpg
    1408429668581.jpg
    24.3 KB · Views: 124
Nyingine ni Optimals..nzuri kwa wenye ngozi za mafuta
 

Attachments

  • 1408429810020.jpg
    1408429810020.jpg
    31.4 KB · Views: 106
Tunazo lipsticks zinazokaa kwenye lipstick masaa 24..bei yake ni 26,000

"...................Tunazo lipsticks zinazokaa kwenye lipstick masaa 24..bei yake ni 26,000......."
Yawezekana ni mimi tu sijaelewa sijui....!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi natumia bidhaa za oriflame mwaka wa 4 sasa. Ni nzuri kweli. Ukianza kutumia si rahisi kuziacha maana zina matokeo mazuri
 
Back
Top Bottom