Mkuu, mbona umewahi sana kueka hiki kifungio.......??"Kwa kifupi karibu mitaani uje uone maisha ya mpiga kura..."
Africa is too crazy...Raisi wa nchi anaweza akakosa kua na namba ya simu ya Dakitari bingwa wa watoto hospital kuu ya taifa ila akawa na namba za wasani kama Diamond na Mwijako.Africa kuna upumbavu wa milele , mdada mwenye tako na sura nzuri anaweza kuwa hata kiongozi wa umma
Inafikirisha sanaAfrica is too crazy...Raisi wa nchi anaweza akakosa kua na namba ya simu ya Dakitari bingwa wa watoto hospital kuu ya taifa ila akawa na namba za wasani kama Diamond na Mwijako.
Karibu mtaani uwaone watu waliofeli shule wamefaulu maisha.Karibuni mitaani muone Vijana wamezika ndoto zao kwa sababu ya umaskini...
Karibuni mitaani muone vipaji vilivyofeli kwa kukosa support...
Karibuni mitaani muone Degree zilivyojaa Kwenye vijiwe vya Bodaboda...
Karibuni mitaani muone wenye uwezo wamekosa kazi kwa sababu ya kukosa Connection...
Karibuni mitaani muone mchongo shape kubwa sio una elimu gani kubwa...
Karibuni mitaani muone betting ilivyo ajira kwa Vijana, karibuni mitaani...
Karibuni mitaani muone idadi ya vijana walioambiwa tutakupigia simu baada ya kupeleka barua ya kuomba kazi...
Kwa kifupi karibu mitaani uje uone maisha ya mpiga kura...