Karibuni migombani

Karibuni migombani

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
847
Reaction score
80
Siye tushafika .

Miye na kimei tuko hoi leo chai ilikuwa mbege


mbuzi kwenda mbele

karibuni jf,

x mas iko huku!
 
na Yesu anashuka toka Kipoo jumamosi
 
Nyie wachaga wapuuzi sana mnaona xmas iko kwaajili yenu,tabia ya ukabila muache
 
nyie wachaga wapuuzi sana mnaona xmas iko kwaajili yenu,tabia ya ukabila muache
Jamani mbona tumewakaribisha wote.. X mas iko kwa ajili ya watu wote mkuu

karibu upate mbege kwa mbuzi na ukitumbuizwa na nyimbo za jim . L

jisikie huru x mas yako hii
 
Asante nyie jirambe! Ila mmeondoka na costa,city bus hadi usafiri dar umekuwa issue! Wahi mturudishie usafiri wetu. Yan kimara kivukoni, bugurun kawe,kawe k.koo usafiri kiduchu! Kumbe ndo route za wachaga tumewagundua. Msalimu Manka na Kekue. Wachanga marafiki zangu ila uwa wananiweka Active wakati wa kufanya hesabu za hela,ukizubaha imekula kwako,ukimpunja mtakutana kwako kimara kama sa8 usiku akiwa na zana za kazi! Nakutania mkuu,heri ya 'Misa ya Yesu' /ChristMass!
 
asante nyie jirambe! Ila mmeondoka na costa,city bus hadi usafiri dar umekuwa issue! Wahi mturudishie usafiri wetu. Yan kimara kivukoni, bugurun kawe,kawe k.koo usafiri kiduchu! Kumbe ndo route za wachaga tumewagundua. Msalimu manka na kekue. Wachanga marafiki zangu ila uwa wananiweka active wakati wa kufanya hesabu za hela,ukizubaha imekula kwako,ukimpunja mtakutana kwako kimara kama sa8 usiku akiwa na zana za kazi! Nakutania mkuu,heri ya 'misa ya yesu' /christmass!

Na hii tabia yao yakusafiri wote huu msimu wamepaisha nauli za moshi na arusha . Mie nilitaka kwenda arusha kikazi mh tiketi ni issue!
 
foleni ya magari dar imehamia moshi wakuu!

Natamani kipindi chote cha mwaka ingekuwa hivi dar !

Unataka kuniambia kuwa tatizo la foleni da laweza tatuliwa na magufuli kwa kuwapunguza wachaga bongo?

haya tupeleke vyanzo vya pesa vingi moshi.... iliwachaga wakae huko
 
Haswa! cjamuelewa sasa kwanini nawenyewe wasitengeneze migombani yao kwa ajili ya x mas?

Ndo matatizo ya kuzaliwa mchana wakati wa jua kali huku mvua inanyesha.

Hebu leta bohora moja hapo la mbege yenye mseseve mwingi lol
 
Na hii tabia yao yakusafiri wote huu msimu wamepaisha nauli za moshi na arusha . Mie nilitaka kwenda arusha kikazi mh tiketi ni issue!

mkuu labda ungenunua tiketi mwezi kabla,ila kama ni ghafla utasumbuka mkuu.
 
Kweli kaskazini kuna maendeleo,tangu mkoloni je barabara ya kimara baruti kwenda udsm short cut inahitaji donors,kibaha to kisarawe,kibaha to bagamoyo,mbagala to jet lumo
 
Back
Top Bottom