SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Wadau karibuni tutumie fursa za biashara hapa mjini MASERU bidhaa za; Vitenge, Batik, mashuka ya kimasai na mfereji maringo maana kina dada toka Ethiopia, Arusha, kigali wamejaa hapa wanapiga kazi. KARIBUNI SANA