Mi napenda wewe uwe wa mwanzo kuja kutembea huku.Usiwe unalog off kihivyo.Pata muda uangalie kidogo mazingira.
Hapo kwenye HABITABLE VOLUME ni ofisi yetu ndogo.Angalia hata kompyuta huwa tunaandika kwa kusimama.
Ukiingia ofisi kubwa ndio utapenda zaidi.Kwa sasa namimi nalog off nipate muda kuchungulia dunia yenu ikichomoza kulia kwangu.