Nawashauri watu wasiende kwenye mkutano huo maana watu kama hao ni JANGA LA KANISA wamekuwa kila mtu anazuka ki-vyake vyake na kudai mimi nilikuwa Jambazi au mimi nilikuwa Mchawi wengine Nilikuwa Sheikhe sasa nimeamua kuokoka kumbe ana lake jambo Mwisho wa yote huishia Kutapeli watu kanisani.
Kama alikuwa Jambazi na akaamua Kuokoka basi akae chini apewe mafundisho sasa kuanza tena kuwaweka chini watu na kuanza kutuhubiria Ujambazi wake au Uchawi wake au U-Sheikhe wake sisi hautusaidii kabisa Maadamu yeye ameamua kubadirika basi akalishwe chini afundishwe NENO na si Kutukalisha sisi na Kutufundisha Ujambazi wake WACHUNGAJI kwa hilo AMKENI Mnatuangusha sana.