Khaswa ndo zenyewe lakini zinafurisha mwili in short time !! utafitihizo zitaitwa spaghetti sausage rolls ama?
Khaswa ndo zenyewe lakini zinafurisha mwili in short time !! utafiti
Ms C' ..huoni shape hiyo mbele yako? mmh me never tumia heavy food !! Napendaga kuchaguwa na kudokowa !! (minerals,vitamins)unaonekana mzee wa heavy food
Exactly !! Endelea hivoivo... Mmh maana hapo juu ni maJunk food !!ooh! mie uzuri siendekezagi ulaji wa haya masoseji.
nagonga vitu natural kama viazi vya kuchoma, na mihogo ya kuchoma ukiukuta ule mlain ule na kachumbari lol!
Ms C' ..huoni shape hiyo mbele yako? mmh me never tumia heavy food !! Napendaga kuchaguwa na kudokowa !! (minerals,vitamins)
Mashkurra (Thanking You)good boy
Mashkurra (Thanking You)
Hii combo nimeipenda kwa kweli. Ukila usiku hii huoti ndoto za kutisha