KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 547
Hapo lazima uumuke kitambi cha miss chagga hata kama ulikuwa mwembamba kama masai dada
Hapo lazima uumuke kitambi cha miss chagga hata kama ulikuwa mwembamba kama masai dada
hahhaaha miss chagga andamana plz
jamani kwani nimekukosea nini? mbona kuniombea mabaya
Hawezi, kwasabau namsaidia kupiga pushups kupunguza unene
looh mmeanza lini hiyo kozi
Jamani mimi kidogo ni mshamba na kuuliza si ujinga haya mapishi kayapika nani ni kati ya dada utafiti na dada farkhina na kwa wote hawa kwa pamoja na wapa pongezi zao asanteni na allauu ibarik na mjaliwe maisha marifu na mpate waume wenye heri na muzidi kutuwonyisha zaidi mapishi yenu asanteni na usiku mwemma allam siik