Mzee Kitinku
Member
- Sep 23, 2026
- 29
- 32
Kwanini bosi?Mmekosa kazi wazee
Hiyo ndio mahitaji ya wananchi wenu!?Kwanini bosi?
Wacha mbwembwe tajiri. Kusajili hapo mkuu.Hiyo ndio mahitaji ya wananchi wenu!?
Panapo majaaliwa...Wacha mbwembwe tajiri. Kusajili hapo mkuu.
Karibu sana Mkuu.Sawa.Natoka huku Kijereshi ili nije kujumuika nanyi.Mniandalie ulanzi aina ya mbabasa au mdindifu.
Mbio zangu nitaanzia Ndiuka mbiombio hadi Ikokoto.Ntapiga maji ya kunywa kidogo halafu tutaendelea hadi Mtandika.Haina kuzubaa.Karibu sana Mkuu.
Watu mnavamia vamia tu mambo,Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawakaribisha wananchi wote wa Tanzania kwenye mbio za Kitonga Marathon zinazotarajia kufanyika mwisho wa mwezi huu pale Mlima Kitonga uliopo kwenye Kata ya Ilula Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa.
Don't miss. Utaratibu wa kujisajili ni kama unavyoonekana kwenye bango hilo hapo.
Wote mnakaribishwa.
View attachment 3687895
View attachment 3687894
Tumejipanga kwa hilo. Karibu sana bosi.Watu mnavamia vamia tu mambo,
Hii mbio haipo hata kwenye calendar ya RT ya Mwaka, mmeshaona Marathon ndo sehemu ya kupigia, warning wakimbiaji bi wale wale, mnatakiwa kuja na kitu very exclusive ambavyo hatuwezi pata mbio nyingine. Social runners wanataka vibes wakati wa race (categories zote) na zaidi baada ya race. Elites wanataka zawadi (mjipange kwa hilo)
Zaidi mje na theme uncommon ambayo itashawishi watu ku-register wakiamini kwa kufanya hivyo kunasaidia sawa na theme yenu.
Choose the right and experienced race manager mfano the runners Tanzania etc.
Ur start is your sustainability...mkuanzq vzr mtaendelea kuwa bora.
Zipo za kumwaga pale Mtandika na Ruahambuyuni. Karibu sana Meku.Kuwe na totozi zinazoeleweka tu
Karibu sana bosi. Rafiki Yako Lucas atakuwepo kukupa kampaniMbio zangu nitaanzia Ndiuka mbiombio hadi Ikokoto.Ntapiga maji ya kunywa kidogo halafu tutaendelea hadi Mtandika.Haina kuzubaa.
Karibu sana bro. Kutakiwa na vibe kama lote.Panapo majaaliwa...
Asante sana bwasheeZipo za kumwaga pale Mtandika na Ruahambuyuni. Karibu sana Meku.
We hata kuandika huwezi, utashauri nini. Bwege TU.Kwa iyo wewe na mkurugenzi wako ndo mmeamua mpate helaa na iyo Marathoni yenu haina mbele wala nyuma..
Embu fanyeni mbonya msingi kwanza wakuu ilo litakuja huko mbeleni..