Karibuni kisiwa cha Pemba jamani

Wonderful!! sasa bango kama hilo kalibandike Buguruni, uone kama hutopigwa mawe!!
ila wamesahau mstari mmoja
"KWA MAKUBALIANO RASMI, TUNARUHUSU KUINGIA MWANAUME NA MWANAUME"
Au ndo umeedit mkuu MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Hii ilikuwa zamani mkuu!! Siku hizi chake utaijua mkuu wapo hadi madada poa
 
Wangejua kama kuna photoshop....

Halafu wenzao wa Unguja ukiwa na mwanamke unataka kuzama nao room, huwa wanajifanya kuongeza gharama za chumba...

Sasa sijui ndio namna yao ya ku-discourage watu kuzini maana wengine huenda na wake zao...
 
yaani wao wanawadha ngono tu,kukodi chumba ukiwa na mwanamke sio kama mnaenda kufanya ngono wengine wanaenda kuongea biashara zao
 
Sasa MziziMkavu cha ajabu nini hapo, nyie huko bara ndo mwajiendea tu holela katika nyumba za wageni bila kulinda madili huku kwetu Pemba shurti kwa certificate kudhibitisha uhalali wa mwanamke uliye naye, hatutaki uzinzi huku
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…