Karibuni keki


watu kibao wamekataa kula hiyo keki ilihali ni keki na si nyoka. thanks a lot kwani leo nimepata new psychological clue katika research yangu kwamba wengi wamerespond negative coz what they see coresponding to their memory faculty (a scary and toxic animal) apart from the actual idea of the phenomena which is food.
so nawaza if i can put a tiny snake inside a beautiful round shaped cake lakini niwaambie kabla ya kula kwamba ndani kuna nyoka then nitest responds zao.
 

Nikweli mkuu ata mimi najiuliza kwanini mtu anakataa kabisa kula while hii ni keki na sio nyoka?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…