Karibuni katika mjadala huu na tuelimishane pia

Karibuni katika mjadala huu na tuelimishane pia

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,285
Hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya wanawake kuchoma mali au hata wapenzi wao kwa wivu wa mapenzi au kuachwa na mpenzi.

Unafikiri ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na wivu wa mapenzi au kuachwa pasipo kumuathiri mwanamke au mwanaume?
 
Ni ngum kusema njia sahh ktk hili .tunatofautiana kwenye mapokeo yamaamzi yawengine kikubwa tuheshimiane ili hata ikitokea mnaachana kusiwe nauadui
 
Tulifundishwa shuleni, kwenye hesabu nenda na moja kichwani. Sasa hata kupenda, nenda na moja kichwani. Huyo ni mwanadamu tu leo anakupaka wanja kesho pilipili...
 
Kwanza kabisa tujibu kwa nn ghafla ndio yameibuka haya.

Moja tukio la yule dada kumchoma mpenzi wake na nyumba watanzania wengi tulichukulia kama mzaha flani hivi, yaani mutu kauwawa ila watu wanatungia vimeme,vichekesho,,nk hata mtaani story njingi zinapigwa kimazaha mzaha tu,utasikia mtu anakwambia wachaga noma hawana mchezo mara wengi wamachame hao,,,so hapa inafanya hili jambo lionikane kama mzaha then kupelea watu kuona ukifanza hivyo ni sifa.

Serikali walitakiwa wakemee kwa nguvu zote,, swala kama hili linapochukuliwa kimzaha ndio hupeleke matukio haya kuendelea.
 
Kuheshimiana ni jambo zuri pia kukubali matokeo baada ya kuachana
 
Cha msingi ni kununua fire extinguisher za kutosha
 
Kwanza kabisa tujibu kwa nn ghafla ndio yameibuka haya.

Moja tukio la yule dada kumchoma mpenzi wake na nyumba watanzania wengi tulichukulia kama mzaha flani hivi, yaani mutu kauwawa ila watu wanatungia vimeme,vichekesho,,nk hata mtaani story njingi zinapigwa kimazaha mzaha tu,utasikia mtu anakwambia wachaga noma hawana mchezo mara wengi wamachame hao,,,so hapa inafanya hili jambo lionikane kama mzaha then kupelea watu kuona ukifanza hivyo ni sifa.

Serikali walitakiwa wakemee kwa nguvu zote,, swala kama hili linapochukuliwa kimzaha ndio hupeleke matukio haya kuendelea.
Mi naona hii serikali imekaa kimya tu hata makanisa na misikiti sijui kwa nn hawatoi neno.
 
Ukiachwa kubaliana na hali maisha mengine yaendelee, kuna maisha baada ya kuachwa.
 
Hili tatizo naona kama limeanzia mbali hivi na. Chanzo cha yote ni hili swali

"Utaolewa Lini"? Hapo bi dada akiangalia keshaukalia usiku na mchana, kiangazi, Masika hadi Kipupwe na keshaaminishwa kuwa yeye ndiye mama mjengo. Picha linakuja kugeuka mjuba anapopata chombo kingine nyonyo imesimama ka inataka kukimbia huku aloamimishwa kuolewa akiwa keshajichokea anaona Famililah, potelea pote tukose wote.
 
Kila kitu kiwe kiasi, hata kumpenda Mtu kuwe na kiasi, Sasa unakuta unampenda Mtu kuliko hata wazazi wake waliomleta duniani Hilo ndio tatizo na kujifanya bila yeye huwezi kuendelea na maisha. Mapenzi yawe na kiasi
 
Back
Top Bottom