KARIBUNI KATIKA KAMPUNI YA ORIFLAME TUTENGENEZE PESA

miss ToD

Member
Dec 20, 2015
77
20
Nawakaribisha katika kampuni ya Oriflame kutoka Sweden inayojihusisha na uzalishaji wa bidhaa za urembo.
Ukitaka kujua zaidi njoo nikuunge kwenye group la watsapp ujifunze mengi zaidi

Pm namba yako darasa linaanza saa mbili usiku leo na kesho
 
Mmebobea kuwapiga pesa mno dada zetu nyinyi na mavipodozi yenu ambayo hayasaidii chochote! 270k na bado hakuna mafanikio!.
 
Kwa nini hilo darasa lisitolewe hapa ili upate wateja wengi zaidi??
 
Back
Top Bottom