Karibuni katika chakula cha usiku Munakaribishwa

Pweza wanadamu tunakula tu kwa ushupavu wetu, ukweli ni kwamba Muumbaji wetu hakuturuhusu tuwale hao viumbe. Ila nimeupenda mlo wako mkuu.
na mtu yoyote akiwakaribisha kuleni kwa dhamiri..............
 
mim sipendi kuyla sana kwa sababu ya kuogopa kunenepa Daktari nae awe mnene itakuwaje Mkuu Watu8 una kilo ngapi wewe?

Hahaha...uzito wa kuendana na urefu wangu...220 pounds hivi
 
Last edited by a moderator:
bahati mbaya chakula cha usiku kwa sasa kitakuwa kimeharibika! doctor MziziMkavu kinafaa kiafaya kuliwa mida hii.
 
Last edited by a moderator:
siku nyingine uje na tahadhari kuhusu CHAKULA CHA USIKU Maalim Mzizimkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…