Karibuni jamani mabingwa wa kuhonga

Kuhonga inaweza isiwe shida km umepata mwanamke anayejielewa na bila kupangiwa masharti...mimi ugomvi wangu mkubwa ni mwanamke anayenipangia nimpe hela kwa ratiba au nisipompa ananuna...yan hapo ndo hapati kitu km hataki aende tu kutongoza mi ni master
 
Hela zangu nazipenda sana na nazitunza kama mwanamke anavyo utunza uzuri wake
 
me nikihonga usiku sipati usingizi isee,narusharusha miguu mpaka kokoriko na kuota ndoto za mauzauza
 
mkuu pole, mtumikie mola wako, kwa maana pengne amekuepusha na balaa, you never know be cool and relax.
 
mwanaume lazima uhonge....hii hainaga ubishi..... hata ukimpa soda....ina lengo,,,, unajenga mazingira ya ukaribu........mpaka mfikie malengo...... au teseme kuchunwa.....must
Wewe sasa Ndio definition of msweetbabe...lazima mwanaume uhonge banaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…