Karibuni jamani mabingwa wa kuhonga

Nilihonga four figure, mweee, demu mwenyewe Kilaza hajawahi hata kuipata D moja ya Hesabu. Marks zake kila kukicha ni FFFFF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio mjue kuhonga tu, pia kitandan mjitahid sio kwakua umenihonga basi unajua ndo ushamaliza kila kitu, performance muhim pia sio kitandan unageukageuka tu ka chatu anavua ngozi, bt kumbuken pesa ndo muhim zaid hapo, performance ni kachumbar tu.
Hahaaa mbona hueleweki mkuu, pesa ndiomuhimu au kitanda.
 
Ukimhonga inatakiwa kusokomeza hadi atamani kuirudisha sio kimoja then hoi
 
Sio mjue kuhonga tu, pia kitandan mjitahid sio kwakua umenihonga basi unajua ndo ushamaliza kila kitu, performance muhim pia sio kitandan unageukageuka tu ka chatu anavua ngozi, bt kumbuken pesa ndo muhim zaid hapo, performance ni kachumbar tu.
sasa ndio umeandika nini unajitekenya mwenyewe na kucheka.hahahah
 
ha ha ha ha
 
Kiukweli mwanamke asipokuwa mchoyo kwangu na akatulia.
Atakula vyangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…