Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Kama bado hujaolewa basi jitahidi sana uolewe.Sio mjue kuhonga tu, pia kitandan mjitahid sio kwakua umenihonga basi unajua ndo ushamaliza kila kitu, performance muhim pia sio kitandan unageukageuka tu ka chatu anavua ngozi, bt kumbuken pesa ndo muhim zaid hapo, performance ni kachumbar tu.
Cyo jamaa yako sema niwee mwenyewe babuu kha!Jamaa yangu alihonga kitu cha thamani sana after 3 days akatolewa mbavuni
Hujasema we uko upande gani mkuu.unajua humu tunajaribu kujifariji tu
kuna wale tunaosema hatuhongi ila kiuhalisia tunapasuka sanaaa
na wale tunaojiita team kuhonga kiuhalisia ni dume suruali
pia wapo wasemao ukweli
usiwaamini sana watu wa jf
Nimeipeinda hiiWanawake mna dhambi mbaya sana!
Nitafute pesa,
Nikuhonge hiyo pesa,
Nitumie nguvu nyingi kupiga jeki mpaka uridhike hatari hiyo.
Chagueni moja ama kuridhika au kuhongwa na mtulie.
Umeonaeee uncle wangueeeunajua humu tunajaribu kujifariji tu
kuna wale tunaosema hatuhongi ila kiuhalisia tunapasuka sanaaa
na wale tunaojiita team kuhonga kiuhalisia ni dume suruali
pia wapo wasemao ukweli
usiwaamini sana watu wa jf