Karibuni chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

h.imani

Senior Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
189
Reaction score
94
The Mwalimu Nyerere Memorial Academy ni chuo ambacho bado kina nafasi nyingi za kutosha hadi sasa. Ni chuo cha serikali. Kipo kigamboni, diploma na degrees'. Please, wanaosema vyuo vimejaa sio kweli.

Na ada yake ni cheap sana.

Diploma ni laki nane, degree ni milioni moja tu.

Kwanini uhangaike. Bado siku 2 zilizobaki, karibuni sana.

Mimi ni mwanafunzi wa management of social development.
 
Kaka mimi nimechaguliwa hapo Techinician certificate in primary education cjui hiyo coz kama ipo namba msaaada wa no za administration
 

kumbe lile neno "politics" mmeliondoa kwenye kozi hiyo mkuu sasa kwa waliotangulia dunia nzima watakuwa wako peke yao au?
 
Msaada tafadhali hii course unayosoma inahusiana na nini na unafnya kazi maeneo gani naomba nisaidie pls
 
Vp hivi chuo hicho kina accommodation au accommodation inakuwaje kwa wanafunzi wa hapo
 
mbn ada ipo kizembew xan panakusoma kwelii apoo msije mkawa mnashinda kuvua samaki mtoonii apoo
 
Msaada tafadhali hii course unayosoma inahusiana na nini na unafnya kazi maeneo gani naomba nisaidie pls
Kazi ni

Administration
Community dev
Project mgt
Social research
Mediatorship and arbitration.
 
Mkuu ebu nipe details za kutosha kuhusu iko chuo has a hasa katka maswala ya education.
Vilevile Mkuu hapo kunapatikana hostel kwa wanafunz wanaotoka Mikoan au ndio ile kupanga mtaan
Wakuu msaada please kabla hawajafunga hii second round ,maana ata sielew kiufup nmepagawa.
Wakuu msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…