Hii bado haijawafikia akina Okonkwo. Kule Umofia kuna jamaa alitandika kitu cha Yam foo foo na egusi soup kiasi watu waliokaa upande mmoja hawawaoni wa upande wa pili. Ilipofika jioni wakati mlima umepungua ndipo jamaa mmoja akagundua kumbe na shemeji yake naye alikuwepo, ndipo sasa wakasalimiana kwa kupeana mikono juu ya masalia yaliyokuwapo mezani