Karibuni Chakula

::
Haya nikianza kutafuna mnameza
=
 
Paloma alipika chakula kibichi, yani hamu yenyewe ya kula iliisha total ila kwakua nilikua na njaa ikabidi nikomae kula hadi kika kwisa
Atakuwa ni manoah kabisa nimemuangalia kwa ukaribu sana na kugundua ni yeye.
 
Last edited by a moderator:
Huyo upande wa kulia amefanana na masanja mkandamizaji

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hata kulala washindwa wakimaliza..kesho ya shibe ilivyopitiliza si mchezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…