Karibun Cha Mchana Ndugu zangu

Wakat watu wanakula paja ww wala miguu kwel life n tofaut duh na nasikia ukila miguu ya kuku unatembea sana
 
Nilikuwa huko last week
Kusi ndo anamalizia muda wake, upepo wa kaskazi unakaribia hivyo samaki wengi na dagaa wataanza kupatikana kwa wingi Kigombe, Mwarongo, Tongoni nk
Samaki bado kidogo, sina shaka umeenda kwa ajili ya[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mimi nillienda kutafuta kamba coach na leeches(luba)
Hawa luba ni biashara kubwa tutaongea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…