Aisee......
we unaweza kujaribu
Labda nikuone wewe uko upande mwengine na natakiwa nipite hapo na baiskel ili nikupate ndio naweza kupita.....
hahaha ni nchi gani hiyo picha ilipo tukajaribu lol
hapo hata kwa mguu sipiti
Sijui ata wapi, itakua kwa wazungu tu huko
ila inataka moyo sana
Inategemea na ishu inayokupitisha hapo.....
Attempted suicide.Hii ni attempted murder :alien: