mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,609
- 7,698
naona mmekujaSaikolojia ya Dini imejengwa kwenye misingi mikuu mitatu Vitisho, Utii na Ahadi.
Dini ni utapeli.
Mambo ya jehanamu na moto wa shaba ni Vitisho.
naona mmekujaSaikolojia ya Dini imejengwa kwenye misingi mikuu mitatu Vitisho, Utii na Ahadi.
Dini ni utapeli.
Mambo ya jehanamu na moto wa shaba ni Vitisho.
Eehh MUNGU msamehee mtu huyu kwa maana hajui alitendaloSaikolojia ya Dini imejengwa kwenye misingi mikuu mitatu Vitisho, Utii na Ahadi.
Dini ni utapeli.
Mambo ya jehanamu na moto wa shaba ni Vitisho.
Mungu huyo hayupo.Eehh MUNGU msamehee mtu huyu kwa maana hajui alitendalo
Enyi wagalatia ni nani anawalogA?Mungu huyo hayupo.
Ninyi ndio mmelogwa na kupotoshwa kuamini visivyo kuwepo.Enyi wagalatia ni nani anawalogA?
Bwana akubariki sana mtumishi.Shalom Shalom taifa la Mungu
Ni usiku tena nawakaribisha katika maombi .Najua mliowengi mnapitia majaribu tofauti tofauti nawakaribisha kila mmoja mwenye uhitaji aandike ombi lake nayo itatendeka kama ulivyoomba.
Tufungue maandiko kidogo kitabu cha Mathayo
Mathayo 7:7-12 BHN
“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Kama basi nyinyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: Atawapa mema wale wanaomwomba. “Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.
Nawakaribisha tusali pamoja usiku wa leo.Kwa imani tunaamini maombi yetu yote yatatendeka wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Moods nimetafuta jukwaa la maombi nimekosa na nina hisi upako ndani yangu nikamwaga uzi hapa sebleni
KARIBUNI
AmenMungu baba naomba ulinzi wako mimi na family yetu yote katika maisha yetu yote yaliyobakia hapa duniani!Amina
Ubarikiwe sanaBwana akubariki sana mtumishi.
Nami ninawatakieni Baraka na Neema za Mungu katika maandalizi ya wasaa huo muhimu wa kujizogeza mbele za Mungu, Roho Mtakatifu akafungue maskio ya Mioyo yenu ili hatimae muweze kuskia sauti ya wito wa Mungu katika Maisha yenu.
Amen...
Karibu tumtumikie bwana pamojaNinyi ndio mmelogwa na kupotoshwa kuamini visivyo kuwepo.
Badala ya kupambana na mifumo mibovu ya nchi yako, inayo sababisha ukosefu wa ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla.Tuliosoma vyuo na sasa hatuna ajira hatuna mbele wala nyuma ni muda sahihi wa kurudi magotini pa baba muumba wetu atupe kibali katika ajira
Wakati mwingine unakuwa jobless sababu shetani amekufunga kwaiyo wewe popote pale unakosa kibali hivyo ni vyema kuomba kibali kutoka wa Mungu wa mbinguniBadala ya kupambana na mifumo mibovu ya nchi yako, inayo sababisha ukosefu wa ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla.
Mlivyo wajinga mnadhani
"Ukosefu wa ajira" ni tatizo la kiroho.
Nakwambia hivi, Mtabaki Jobless vizazi na vizazi mpaka hizo Akili zenu zitoke kwenye Upumbavu wa kuamini ukosefu wa ajira na umaskini ni matatizo ya kiroho.
Mtabaki Jobless milele.

Ungana nao fungua kanisa hio ni Ajira toshaTuliosoma vyuo na sasa hatuna ajira hatuna mbele wala nyuma ni muda sahihi wa kurudi magotini pa baba muumba wetu atupe kibali katika ajira
Barikiwa sanaAmen Mtumishi wa Mungu, Nimetuma Hitaji langu Inbox![]()