Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,154
Nimechoka na nimeboreka, niambie kimoja kati ya hivi vitano;
secretarybird, realMamy , Binti Sayuni03 , bonjov , Anastasia21 & Mpwa Nomadix
- Kitu gani cha ajabu mwanaume au mwanamke ameshawahi kukuomba?
- Umeshawahi kuvunja urafiki, nini kilitokea?
- Umetumia hela yako kununua kitu gani cha kijinga ila unakifurahia?
- Ulifanya nini mpaka ukaachwa au kumuacha mpenzi wako?
- Ndoto gani ya ulishawahi kuota, ukaamka na kushukuru kwamba ni ndoto na si kweli.
secretarybird, realMamy , Binti Sayuni03 , bonjov , Anastasia21 & Mpwa Nomadix