Aliwahi kuwa hapatikani na hata hajibu text zangu sababu kubwa ni hana hamu ya kutumia simu
Baada ya uchunguzi wa FBI na CIA nikagundua amehamishia moyo na akili kwa best friend wangu
Nilipiga chini ila jamaa urafiki ukabaki tena ule wa shida na raha mpaka sasa ni miaka 4