Karibu Tigo 4G ndani ya Dodoma

Karibu Tigo 4G ndani ya Dodoma

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,050
Reaction score
1,359
Nilipewa mwaliko bana wa kuhudhuria tukio maalamu la kulounge 4g ndani ya dodoma tukio lililofanyika Molena Hotel, nimefurahi kwa kufanya tukio ili hivyo kuanzia kesho kama mteja wa tigo fika kesho ofisi ya tigo ubadilishiwe laini yako na upewe ya 4g uanze kufaidi speed ya kasi kabisa

Tigo mnanikoshaaa
 
Natumia hiyo tigo 4g.hamna kasi inayozidi 3g ya Vodacom au Airtel. Halafu inakata kata sana. Wala usijipe moyo. Ni kanyaboya
 
Internet yenyewe ya 3G bado inapatika kwa tabu sana maeneo mengi ya Dom, ndio wanataka kudanganya na hiyo 4G?!
 
Kumbe 4G ina laini zake maalumu eeh, sikujua
 
Internet yenyewe ya 3G bado inapatika kwa tabu sana maeneo mengi ya Dom, ndio wanataka kudanganya na hiyo 4G?!

...mi mwenyewe niko dsm hiyo 3G full mizinguo,wana mbwembwe sana wakati hamna kitu!
 
Natumia hiyo tigo 4g.hamna kasi inayozidi 3g ya Vodacom au Airtel. Halafu inakata kata sana. Wala usijipe moyo. Ni kanyaboya

Tigo 4G inakasi kubwa sana huwezi linganisha na mitandao mingine mm napata speed ya 43mbps download
 
Back
Top Bottom