Karibu The great lakes secondary school

Karibu The great lakes secondary school

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
322
Reaction score
286
Shule ina Mazingira Mazuri na Rafiki kwa utoaji wa Elimu Bora na Malezi kwa Mtoto. Wahi FOMU mapema, mitihani ya kujiunga itafanyika Oktoba 20, 2018 siku ya jumamosi.
IMG_20180917_212107_793.jpg
IMG_20180917_212311_125.jpg
IMG_20180917_212154_124.jpg
 
Picha iko wapi ya hiyo shule na hizo facilities,
Bwana Mwalimu kumbuka hapa unafanya biashara hili ni tangazo emu weka picha
 
Leta hela nikutangazie shule yako moja kwa moja kwenye viganja vyao..

Nina database ya simu number zaidi ya 50,000+ sms moja nitakufanyia 30/- mkuu
 
Unaonaje mkuu nikakupa website buree ukilipia domain na host Tsh 75,000 tu kwa mwaka uwe mtandaoni.

Nagalizo: Hii ofa ni ya mkuu si vinginevyo
 
Back
Top Bottom