Karibu Tanzania

Chibike

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
4,909
Reaction score
7,560
Karibu Tanzania nchi ambayo Mchina anaingia nchini anafanya kazi bila vibali hata miaka 6 fresh tu

Wewe mngoni nenda kariakoo fungua hata Ki Mpesa na huna leseni Utakiona cha moto.

Inawezekana kweli mzee wangu marehemu JomoKenyatta aliona sisi ni maiti kweli?
 
Well bila kupaza sauti serikal ilikuwa imelala
 
Taifa la wendawazimu linaongozwa kiwendawazimu wendawazimu.

Yaani wote wanafanana akili anayejiita kiongozi kutoka huko juu shuka chini mpaka muokota makopo hawana tofauti akili zao sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…