Karibu Smart..

Imposibo_

JF-Expert Member
Feb 1, 2016
2,746
2,121
Karibisha ndugu jamaa na wahamie smart na namba zao zilezile za mitandao mingine wapate kuongea BURE mwaka mzima na gharama nafuu kupiga Simu mitandao mingine kwa bei nafuu zaidi.
e7d20d420525df77fc39231d53e02043.jpg
 
Hili suala la kuhama mtandao linakuaje? Sijapata mtaalamu wa kunielewesha kila kitu including gharama za ziada
 
Back
Top Bottom