Karibu Shule Mpya kwa Matokeo bora ya mwanao

Laizer Miradi

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
24
Reaction score
8
TANGAZO

St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018.

Kwa nini St. Raphael?
1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro
2. Imefunguliwa na ina miundombinu bora na maabara ya kisasa.
3. Walimu waliobobea
4. Ada nafuu na kulipwa kwa awamu NNE
5. Mtoto asipofikisha wastani atapokelewa na kuwa chini ya uangalizi maalumu.
5. Mwisho wa kupokea ni tarehe 30 January hii.

Karibu sana St. Raphael Ifakara. Shule ipo mtaa wa Kibaoni jirani na Sekondari ya Kibaoni.

Kwa mawasiliano zaidi, tupigie Katibu wa Elimu Jimbo la Ifakara. 0768627114

Karibuni sana.
 
Weka na ada kabisa tuone...
 
Back
Top Bottom