SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,263 Jan 16, 2016 #3 ikhatibu said: Click to expand... Hapo hakuna Kupumzika kwa Amani.Hapo utanyonywa damu usiku! Sijui pamekaakaaje!
ikhatibu said: Click to expand... Hapo hakuna Kupumzika kwa Amani.Hapo utanyonywa damu usiku! Sijui pamekaakaaje!
ikhatibu JF-Expert Member Nov 14, 2013 2,433 2,391 Jan 16, 2016 Thread starter #4 SHIEKA said: Hapo hakuna Kupumzika kwa Amani.Hapo utanyonywa damu usiku! Sijui pamekaakaaje! Click to expand... .
SHIEKA said: Hapo hakuna Kupumzika kwa Amani.Hapo utanyonywa damu usiku! Sijui pamekaakaaje! Click to expand... .
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 Jan 16, 2016 #5 Nielkeze ni wapi hapo pakupumzikia...?
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,061 6,395 Jan 16, 2016 #6 Itakubidi uwe na roho ngumu kulala hapo
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,401 738,611 Jan 16, 2016 #7 MasterP. said: Itakubidi uwe na roho ngumu kulala hapo Click to expand... Hapo mimi nalala halafu tuone kama wasipo RIP wao
MasterP. said: Itakubidi uwe na roho ngumu kulala hapo Click to expand... Hapo mimi nalala halafu tuone kama wasipo RIP wao
hazole1 JF-Expert Member Jan 3, 2015 4,319 3,916 Jan 17, 2016 #8 Inaonyesha mwenye hiyo geust alisha kufa muda mrefu sana.
ikhatibu JF-Expert Member Nov 14, 2013 2,433 2,391 Jan 18, 2016 Thread starter #9 Gwangambo said: Nielkeze ni wapi hapo pakupumzikia...? Click to expand... Kijiji kimoja amazing . Hata ukija ni mchepuko huonekani .
Gwangambo said: Nielkeze ni wapi hapo pakupumzikia...? Click to expand... Kijiji kimoja amazing . Hata ukija ni mchepuko huonekani .
ikhatibu JF-Expert Member Nov 14, 2013 2,433 2,391 Jan 18, 2016 Thread starter #10 mshana jr said: Hapo mimi nalala halafu tuone kama wasipo RIP wao Click to expand... Najua wewe umeaga kwenu.
mshana jr said: Hapo mimi nalala halafu tuone kama wasipo RIP wao Click to expand... Najua wewe umeaga kwenu.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,258 Jan 18, 2016 #11 jumba taka na wanaoingia nao ni taka
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 131,491 156,866 Jan 18, 2016 #12 Hiyo guest vyumba vyake kwenye milango vimeandikwa Bwana Akutangulie...