Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895
Miaka mitano ijayo hali ndio itakuwa ngumu zaidisekta ya fedha imeathirika sana sasa hivi
Lazima watu walambishwe sakafu
Lazima watu walambishwe sakafu
NMB Bank Plc Stock Ownership
Usiweke, wakopeHapo makato na usalama wa siri zetu tukiweka mamilion utakuwaje
Ni ramli au wewe una taaluma ya uchumi?Miaka mitano ijayo hali ndio itakuwa ngumu zaidi
NBC mwekezaji mkubwa ni Barclays kupitia ABSA. Hii Benki mpya itamilikiwa kwa 💯 na serikaliInatofauti gani na NBC?
Hatuna dira wala uelekeoHahaaa! NBC waliiuza sasa wanaunda nyingine, akija Rais mwingine nae ataiuza
Balaa kabisaHatuna dira wala uelekeo